SERIKALI INAENDELEA NA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI-MAJALIWA

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan inasimamia kikamilifu sekta ya nishati ikiwemo kuendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani Tanga nchini Tanzania ili kukuza uchumi. “Mradi huu ni muhimu kwa